\v=21 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* hakumtokea tena Manoa na mkewe. Ndipo Manoa akatambua kuwa huyo alikuwa malaika wa \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p