\p \v=23 \v~=Lakini mkewe akamwambia, “Ikiwa \nd Bwana\nd* alikuwa amekusudia kutuua, asingelipokea sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya unga kutoka mikononi mwetu, wala asingelituonyesha mambo haya yote wala kututangazia mambo kama haya wakati huu.” \¬v \¬p