\p \v=24 \v~=Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye \nd Bwana\nd* akambariki. \¬v