\v=3 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamtokea huyo mwanamke na kumwambia, “Wewe ni tasa na huna mtoto, lakini utachukua mimba na utamzaa mtoto mwanaume. \¬v