\p \v=8 \v~=Ndipo Manoa akamwomba \nd Bwana\nd*, akasema: “Ee Bwana, nakusihi, huyo mtu wa Mungu uliyemtuma kwetu aje tena ili atufundishe jinsi ya kumlea huyo mwana atakayezaliwa.” \¬v \¬p