\v=4 \v~=(Baba yake na mama yake hawakujua kuwa jambo hili limetoka kwa \nd Bwana\nd*, kwani alikuwa akitafuta sababu ya kukabiliana na Wafilisti; kwa kuwa wakati huo walikuwa wakiwatawala Waisraeli.) \¬v