\m \v=17 \v~=Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi.\f + \fr 15:17 \ft Ramath-Lehi maana yake Kilima cha Taya.\f* \¬v \¬m