\p \v=18 \v~=Kwa kuwa alikuwa amesikia kiu sana, akamlilia \nd Bwana\nd* akisema, “Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?” \¬v