\p \v=20 \v~=Samsoni akawa mwamuzi wa Waisraeli katika siku za Wafilisti kwa muda wa miaka ishirini. \¬v \¬p \¬c