\v=28 \v~=Ndipo Samsoni akamwomba \nd Bwana\nd*, akasema, “Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, unikumbuke. Ee Mungu, nakusihi ukanitie nguvu mara hii moja tena, ili kwa tendo hili nipate kulipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.” \¬v