\p \v=4 \v~=Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila. \¬v