\p \v=10 \v~=Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi\f + \fr 17:10 \ft Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 115 za fedha.\f* za fedha, nguo na chakula.” \¬v