\v=2 \v~=Akamwambia mama yake, “Zile shekeli 1,100\f + \fr 17:2 \ft Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha.\f* za fedha zilizochukuliwa kwako, ambazo nilisikia ukizinenea maneno ya laana, hizi hapa; mimi ndiye niliyezichukua, lakini sasa ninakurudishia.” \¬p \p \p~<