\p \v=4 \v~=Hivyo akamrudishia mama yake ile fedha, naye mama yake akachukua shekeli mia mbili\f + \fr 17:4 \ft Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3 za fedha.\f* za hiyo fedha na kumpa mfua fedha, ambaye aliifanyiza kinyago na sanamu. Navyo vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika. \¬v \¬p