\v=12 \v~=Walipokuwa wakisafiri wakapiga kambi huko Kiriath-Yearimu katika Yuda. Hii ndiyo sababu sehemu ya magharibi ya Kiriath-Yearimu inaitwa Mahane-Dani\f + \fr 18:12 \ft Mahane-Dani maana yake Kambi ya Dani.\f* mpaka leo. \¬v