\p \v=6 \v~=Yule kuhani akawajibu, “Enendeni kwa amani. Safari yenu ina kibali cha \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p