\p \v=18 \v~=Akamwambia, “Tumepita kutoka Bethlehemu ya Yuda, tunaelekea katika nchi ya vilima ya Efraimu, ambako ndiko ninakoishi. Nilikwenda Bethlehemu ya Yuda na sasa ninakwenda katika nyumba ya \nd Bwana\nd*. Hakuna mtu yeyote aliyenikaribisha katika nyumba yake. \¬v