\p \v=17 \v~=Basi watu wa Yuda wakaenda na Wasimeoni ndugu zao kushambulia Wakanaani waishio Sefathi, nao wakauangamiza huo mji kabisa. Kwa hiyo huo mji ukaitwa Horma\f + \fr 1:17 \ft Horma maana yake ni Maangamizi.\f* \¬v