\p \v=4 \v~=Yuda aliposhambulia, \nd Bwana\nd* akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, nao wakawaua watu 10,000 huko Bezeki. \¬v