\p \v=26 \v~=Ndipo Waisraeli, watu wote, wakapanda Betheli, huko wakakaa mbele za \nd Bwana\nd* wakilia. Wakafunga siku ile mpaka jioni na kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya amani kwa \nd Bwana\nd*. \¬v