\v=19 \v~=Ndipo waliposema, “Tazama iko sikukuu ya kila mwaka ya \nd Bwana\nd* katika Shilo, kaskazini ya Betheli na mashariki mwa ile barabara itokayo Betheli kwenda Shekemu, upande wa kusini wa Lebona.” \¬v \¬p