\v=3 \v~=Wakasema, “Ee \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kwa nini jambo hili limewapata Waisraeli? Kwa nini kabila moja la Israeli limekosekana?” \¬v \¬p