\p \v=5 \v~=Ndipo Waisraeli wakasema, “Ni kabila lipi la Israeli ambalo halikufika katika mkutano kumkaribia \nd Bwana\nd*?” Kwa kuwa walikuwa wameweka kiapo kikuu kuwa yeyote asiyefika mbele za \nd Bwana\nd* huko Mispa, kwa hakika angeuawa. \¬v \¬p