\v=8 \v~=Ndipo wakasema, “Ni kabila lipi la Israeli ambalo halikufika mbele za \nd Bwana\nd* huko Mispa?” Wakagundua kuwa hakuna hata mmoja aliyetoka Yabeshi-Gileadi aliyefika kambini kwa ajili ya kusanyiko la mkutano. \¬v