\p \v=10 \v~=Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua \nd Bwana\nd*, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. \¬v