\v=15 \v~=Popote Israeli walipotoka kwenda kupigana, mkono wa \nd Bwana\nd* ulikuwa kinyume nao ili kuwashinda, kama vile alivyokuwa amewaapia. Nao wakawa katika taabu kubwa. \¬v \¬p