\p \v=16 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia. \¬v