\p \v=8 \v~=Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa \nd Bwana\nd*, akafa akiwa na umri wa miaka 110. \¬v