\v=10 \v~=Roho wa \nd Bwana\nd* akaja juu yake, hivyo akawa mwamuzi wa Israeli, akaenda vitani. \nd Bwana\nd* akamtia Kushan-Rishathaimu mfalme wa Aramu mikononi mwa Othnieli, naye akamshinda. \¬v