\v=13 \v~=Egloni akawataka Waamoni na Waamaleki waungane naye, akaja kuishambulia Israeli, nao wakatwaa Mji wa Mitende\f + \fr 3:13 \ft Yaani Yeriko.\f* \¬v