\p \v=15 \v~=Waisraeli wakamlilia tena \nd Bwana\nd*, naye akawapa mwokozi: Ehudi, mtu wa shoto, mwana wa Gera, Mbenyamini. Waisraeli wakatuma kwa Egloni mfalme wa Moabu ushuru kwa mkono wa Ehudi. \¬v