\v=16 \v~=Basi Ehudi alikuwa ametengeneza upanga wenye ukatao kuwili, urefu wake ni kama dhiraa moja,\f + \fr 3:16 \ft Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.\f* akaufunga upanga huo ndani ya nguo yake kwenye paja lake la mkono wa kuume. \¬v