\p \v=28 \v~=Akawaagiza, “Nifuateni, kwa kuwa \nd Bwana\nd* amewatia Moabu, adui zenu, mikononi mwenu.” Kwa hiyo wakateremka wakamfuata, wakavishika vivuko vya Yordani kuelekea Moabu, wala hawakuacha mtu yeyote kuvuka. \¬v