\v=4 \v~=Waliachwa ili kuwajaribu Waisraeli kuona kama wangetii amri za \nd Bwana\nd*, alizokuwa amewapa baba zao kwa mkono wa Mose. \¬v \¬p