\v=8 \v~=Hasira ya \nd Bwana\nd* ikawaka dhidi ya Israeli, hivyo akawauza na kuwatia mikononi mwa Kushan-Rishathaimu mfalme wa Aramu-Naharaimu\f + \fr 3:8 \ft Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.\f* ambaye Israeli walikuwa chini yake wakimtumikia kwa muda wa miaka minane. \¬v