\v=9 \v~=Waisraeli walipomlilia \nd Bwana\nd*, yeye akawainulia mwokozi, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu, ambaye aliwaokoa. \¬v