\p \v=14 \v~=Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo \nd Bwana\nd* amemtia Sisera mikononi mwako. Je, \nd Bwana\nd* hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000. \¬v