\v=2 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* akawatia mikononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, aliyetawala huko Hazori. Jemadari wa jeshi lake alikuwa Sisera, aliyeishi huko Haroshethi-Hagoyimu\f + \fr 4:2 \ft Haroshethi-Hagoyimu ina maana Haroshethi ya Mataifa.\f* \¬v