\v=3 \v~=Kwa kuwa Sisera alikuwa na magari ya chuma yapatayo 900, naye alikuwa amewatesa Waisraeli kwa ukatili kwa muda wa miaka ishirini, Waisraeli wakamlilia \nd Bwana\nd* wakaomba msaada. \¬v \¬p