\v=21 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akainyoosha fimbo iliyokuwa mkononi mwake, ncha yake ikagusa ile nyama na ile mikate isiyotiwa chachu, nao moto ukatoka kwenye mwamba ukateketeza ile nyama na ile mikate. Malaika wa \nd Bwana\nd* akatoweka kutoka machoni pake. \¬v