\v=22 \v~=Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa \nd Bwana\nd*, akapiga kelele kwa mshangao, akasema, “Ole wangu, \nd Bwana\nd* Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa \nd Bwana\nd* uso kwa uso!” \¬v \¬p