\p \v=27 \v~=Basi Gideoni akawachukua watumishi wake kumi na kufanya kama \nd Bwana\nd* alivyomwambia. Lakini kwa kuwa aliwaogopa jamaa yake na watu wa mji, akafanya haya usiku badala ya mchana. \¬v \¬p