\v=8 \v~=\nd Bwana\nd* akawapelekea nabii, ambaye aliwaambia, “Hili ndilo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, asemalo: Niliwapandisha mtoke Misri, toka nchi ya utumwa. \¬v