\p \v=15 \v~=Gideoni alipoisikia hiyo ndoto na tafsiri yake, akamwabudu Mungu. Akarudi kwenye kambi ya Israeli na kusema, “Inukeni! \nd Bwana\nd* amelitia jeshi la Wamidiani mikononi mwenu.” \¬v