\p \v=22 \v~=Walipozipiga zile tarumbeta 300, \nd Bwana\nd* akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera\f + \fr 7:22 \ft Au: Seretha.\f* hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi. \¬v