\p \v=5 \v~=Hivyo Gideoni akalileta lile jeshi chini kwenye maji naye \nd Bwana\nd* akamwambia Gideoni, “Watenge upande mmoja wale wote wanywao maji kwa ulimi, kama vile mbwa anywavyo, wale wote wapigao magoti ili kunywa wakipeleka mikono yao vinywani mwao, waweke upande mwingine.” \¬v