\v=9 \v~=Usiku ule ule \nd Bwana\nd* akamwambia Gideoni, “Ondoka, ushuke kambini, kwa kuwa nimeitia mkononi mwako. \¬v