\p \v=19 \v~=Gideoni akajibu, “Hao walikuwa ndugu zangu, wana wa mama yangu hasa. Hakika kama aishivyo \nd Bwana\nd*, kama mngekuwa mmewaacha hai, mimi nisingewaua ninyi.” \¬v