\p \v=23 \v~=Lakini Gideoni akawaambia, “Mimi sitatawala juu yenu, wala wanangu hawatatawala juu yenu. \nd Bwana\nd* ndiye atakayetawala juu yenu ninyi.” \¬v