\v=26 \v~=Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilifikia shekeli 1,700,\f + \fr 8:26 \ft Shekeli 1,700 ni sawa na kilo 19.5.\f* bila kuhesabu mapambo mengine, pete za masikio na mavazi ya zambarau yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani, au mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia zao. \¬v